Chapisha Maoni. Home About Contact.

Rais wa Zanzibar afanya ziara ya kuwafariji waathirika wa upepo, wilaya ya Magharibi B Unguja

Breaking News. Nocomped Community Media From Pemba. Inaendeshwa na Blogger.

Micropython webserver example

Malengo mahsus ni kukuza ajira kwa vijana. Chapisho Lililoangaziwa Viongozi wa Serekali za Mitaa wapewa somo. Majaa Wilaya ya Magharibi B Unguja pasua kichwa. Aidha, Mkurugenzi huyo amekaririwa akisema kuwa hata gari chache walizonazo zinashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na ubovu unaokikabili.

RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA SKULI YA MSINGI NA MAANDALIZI FUONI PANGAWE WILAYA YA MAGHARIBI B UNGUJA

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ziara maalumu ya kamati ya fedha, uchumi na maendeleo ya jamii ya baraza hilo waliyoifanya kukagua majaa mbalimbali yaliyomo katika manispaa hiyo, Mussa amesema kuna taka nyingi zinazozalishwa lakini tatizo ni ukosefu wa gari la kuzibebea. Amesema kuwa kwa sasa, wanatumia gari moja ndogo ambayo haitoshelezi. Ili kulipatia ufumbuzi tatizo hilo, Mkurugenzi Mussa amesema manispaa hiyo imeweka mikakati ya kununua gari nyengine lakini inashindikana kutokana na ukosefu wa fedha.

RC AYOUB ATOA KAULI YA KWAANZA BAADA YA KUHAMISHWA MKOA WA MJINI

Aidha ameeleza kuwa, kutokana na hali hiyo, ndipo walipoamua kufanya ziara pamoja na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Magharibi B na kamati ya fedha, uchumi na maendeleo ya baraza hilo ili waweze kukaa pamoja na kutafuta njia muafaka ya kutatua tatizo hilo linaloiathiri manispaa na taifa kwa ujumla.

Mkurugenzi huyo amesema tatizo hilo ni kubwa na linahitaji ushirikiano wa pamoja baina ya taasisi zinazohusika pamoja na wananchi katika ulipaji wa ada za taka zitakazoiwezesha manispaa kupata angalau mapato kidogo yatakayosaidia kufanya kazi hiyo kwa ufanisi.

Kwa upande wake, Mstahiki Meya wa baraza la manispaa magharibi B Maabadi Ali Maulid, amesema hali ya mazingira hairidhishi na inakaribisha hatari ya kuzuka kwa maradhi ya mripuko.

Amesema uongozi wa manispaa umefanya ziara maalum ya kukagua majaa mbali mbali baada ya kupokea malalamiko ya wananchi juu ya kukithiri kwa taka katika maeneo yao hali inayowaweka katika hatari ya maradhi. Baadhi ya wananchi wa shehia za Mombasa, Kwa mchina, Magogoni, Kwa mzungu Tomondo, Chochoroni Mombasa pamoja na skuli ya Mwanakwerekwe C, wameeleza kukerwa na majaa yaliyoko kwenye maeneo hayo, na kuliomba Baraza hilo kuziondosha haraka iwezekanavyo.

Hakuna maoni. Jisajili kwenye: Chapisha Maoni Atom. Skiliza hii Wahi sasa kabla ya kesho. Popular Posts. Recent Posts. Comments recentcomments. Follow by Email.Hivi ni vigezo vya Wilaya vilivyoandaliwa kwa mikoa yote kufuatana na sensa Dodoma 2. Arusha 3.

Kilimanjaro 4. Tanga 5. Morogoro 6. Pwani 7. Dar-es-salaam 8.

wilaya ya magharibi b

Lindi 9. Mtwara Ruvuma Iringa Mbeya Singida Tabora Rukwa Kigoma Shinyanga Kagera Mwanza Mara Manyara Njombe Katavi Rais Dk. Katika maelezo yake Rais Dk. Shein alipongeza juhudi zilizochukuliwa na uongozi wa Wilaya hiyo katika kuendeleza na kuimarisha miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na mashirikiano mazuri yaliopo kati ya uongozi wa Wilaya na uongozi wa Chama.

Shein alitumia fursa hiyo kueleza juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inazozichukua katika kuhakikisha inawapelekea huduma bora wananchi wake wote bila ya kujali rangi, dini, kabila wala itikadi ya kisiasa.

wilaya ya magharibi b

Alipongeza kwa taarifa nzuri ya Wilaya iliyotolewa katika majumuisho hayo ambayo imeonesha wazi kuwa kazi kubwa imefanywa tena kwa mafanikio mazuri. Shein alieleza furaha yake iliyompelekea kuridhika na ziara hiyo kwa kuona miradi muhimu ya maendeleo ambayo ameiwekea mawe ya msingi kikiwemo kituo cha afya Magirisi pamoja na Skuli ya Msingi ya Kwarara katika Wilaya hiyo.

Shein alisisitiza haja kwa vituo vya afya vinavyohudumia watu ni vyema vikaandaliwa vizuri katika kutoa huduma na kuitaka Wizara ya Afya kujipanga vyema kabla ya kuanza kutoa huduma katika kituo hicho pale kitakapokuwa tayari. Alieleza kuwa kuwepo kwa amani na utulivu hapa Zanzibar kumeweza kuwavutia wageni kutoka nchi mbali mbali duniani kuja kuitembelea Zanzibar na kusisitiza haja ya kulindwa na kuenziwa ili Zanzibar izidi kupata mafanikio ikiwemo kuongezeka kwa watalii.

Bot account instagram

Alisema kuwa ili Zanzibar iweze kufika katika uchumi wa Kati nguvu kubwa zinahitajika katika kuimarisha sekta ya elimu na kusisitiza kuwa iwapo Zanzibar ikitaka kuimarisha sekta ya elimu ni lazima elimu ya msingi iimarishwe. Shein alitumia fursa hiyo kuupongeza uongozi wa Wilaya, uongozi wa Wizara ya Elimu kwa mashirikiano makubwa yaliopo ambayo yamepelekea kujengwa kwa Skuli mpya ya Msingi ya Kwarara.

Kwa upande wa sekta ya elimu alisema kuwa mafanikio makubwa yanaendelea kupatikana yakiwemo ya uandikishaji wa wanafunzi wapya ambapo kwa upande wa elimu ya awali uandikishaji umepanda kutoka wanafunzi 3, mwaka hadi wanafunzi 3, mwaka huku akieleza mikakati iliyowekwa ya elimu ya Sekondarinkatika Wilaya hiyo. Aidha, alieleza juhudi zinazochukuliwa katika kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa wanawake na watoto zinavyoendelea ambapo muitiko wa kuripoti matukio hayo unaonekana kuongezeka ingawa changamoto iliyokuwepo ni pamoja na baadhi ya wananchi kukataa kutoa ushahidi pindi wanapohitajika kufanya hivyo.

Alisema kuwa Serikali kupitia Mamlaka ya Maji imeweza kwa kiwango kikubwa kuimarisha miundombinu ya maji ndani ya Wilaya hiyo hivi sasa Shehia zimeunganishwa na zinapata maji safi na salama kutokana katika visima 22 vya Serikali kutegemea utaratibu uliopangwa. Katika juhudi za kuwapatia huduma ya maji safi na salama katika Wilaya hiyo, Mkuu huyo wa Wilaya alieleza kuwa Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo inatarajia kuanza kwa mradi wa maji utakaogharimu Dola za Marekani Milioni Aliongeza kuwa Mradi huo utahusisha uchimbaji wa visima, ujenzi wa matenki na ulazaji wa mabomba katika maeneo mbali mbali likiwemo eneo la Kwarara Kidutani.

Akitoa neno la shukurani Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alisisitiza haja ya kufanya kazi kwa mashirikiano na kueleza kuwa watayafanyia kazi yale waliyoelekezwa na Rais Dk. Shein katika majumuisho hayo.

wilaya ya magharibi b

Alisema kuwa Rais Dk. Shein ametoa elimu klubwa katika ziara yake kwenye Wilaya zote tatu na kueleza kufarajika kwa namna Dk. Shein kumaliza ziara yake katika Mkoa huo akiwa na furaha tele kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na kuahidi kuwa changamoto zilizoelezwa jitihada zitafanyika ili kuhakikisha zinapatiwa ufumbuzi. Shein anatarajia kuendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini itakayoanzia katika Wilaya ya Kaskazini A Unguja siku ya Jumaapili ya tarehe 17 Februari mwaka huu English Swahili.About Gadiola Emanuel.

Post a Comment. Home About Contact. Wazalendo 25 Blog. Post Top Ad. Shein katika ziara wilaya ya Magharibi "B". Tweet Share Pin it Comment.

No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Instagram : wazalendo25blog Facebook : Wazalendo 25 Blog Twitter : wazalendo Gadiola Emanuel. Tufuate Instagram. Tufuate Twitter Tweets by Wazalendo Zinazosomwa Zaidi.

Tangu nilipokuwa mdogo ilikuwa siku wakipika njegere na tukala na wali kusema kweli nilikuwa nafurahi kiwango kikubwa sana. Zaidi pale i Makala : Mange Kimambi ni Nani? Kumbe kasoma Arusha? Na Jeff Msangi. Matukio : Waziri, Dk. Kigwangalla afuturisha wabunge Dodoma, asisitiza Upendo, Umoja na Mshikamano wa kitaifa. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Naam leo njoo tupike ndizi nyama. Nimeona nishirikiane nanyi leo katika kuonyesha namna nzuri ya kupika ndizi nyama.

Jamii:Wilaya za Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi

Muhidini Ally Mboweto, alikabidhi Hati za Utambuli Blogu Marafiki.Tupigie au tuandikie email othmanmaulid gmail. Post a Comment. Habari za Punde. Follow by Email.

Tafsiri ya Lugha. Popular Posts.

wilaya ya magharibi b

Bei ya Fedha za Kigeni leo Zanzibar. Rais Mhe.

Vw bug lift kit

Yaliofanyika leo Mwenendo wa Ugonjwa wa Corona Covid Wagonjwa wengine 29 wathibitika leo. Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Taarifa Kwa Umma. Akizungumza kwa Niaba yake huko Taveta Msaidizi Mkurugenzi wa Masuala wa masuala Mtambuka katika Baraza hilo Abdul-hakiim Machano Haji amesema wameanza kusafisha Barabara mbalimbali zilizomo katika Manispaa hiyo na kuondosha Majaa yasio rasmi ili kuepusha Maradhi ya Mripuko katika kipindi hiki cha Mvua za Masika. Hata hivyo Mkurugenzi huyo amesema Baraza hilo linakabiliwa na tatizo la Upungufu wa Vifaa kama vile Gari za kubebea taka,Uhaba wa Vifaa vya kufanyia Usafi na Mwamko kwa baadhi ya Wanajamii katika suala la kudumusha Usafi wa Mazingira.

Sfida gennaio: u come

Blog Comments Facebook Comments No comments:. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Totoz Play Center. Wazalendo 25 Blog. Marafiki Duniani Live Traffic Stats.As of [update]the population of the Zanzibar West District wasFor parliamentary elections, Tanzania is divided into constituencies. As of the elections the area for Zanzibar West District had nine of the nineteen constituencies in the region: [2].

As of [update]Zanzibar West District was administratively divided into twenty-nine wards : [1]. From Wikipedia, the free encyclopedia. Zanzibar West District. Archived from the original on 18 March African Development Information. Archived from the original on Districts of Mjini Magharibi RegionTanzania. Magharibi Mjini. Hidden categories: Articles with short description Coordinates on Wikidata Articles containing potentially dated statements from All articles containing potentially dated statements All stub articles.

Namespaces Article Talk. Views Read Edit View history. Languages Italiano Kiswahili Edit links. By using this site, you agree to the Terms of Use and Privacy Policy. Zanzibar West District Location in Tanzania. This Zanzibar location article is a stub. You can help Wikipedia by expanding it.Wakizungumza katika vituo vya Uandikishaji baadhi ya Masheha wakiwa ni Mawakala wa Tume wamesema maandalizi mazuri ya Tume na kuimarishwa ulinzi na usalama katika vituo vyote kumesababisha wananchi kuhamasika na kujitokeza kwa wingi katika zoezi hilo.

Walisema pia, Utoaji wa Elimu na upatikanaji wa taarifa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari na viongozi wa Shehia nako kumesaidia kutoa hamasa kwa wananchi kushiriki kujiandikisha na kuhakiki taarifa zao. Wakati huo huo Wadau wa uchaguzi walishauri kuwa Matukio ya kiuchaguzi yanahitaji uvumilivu na ushirikiano baina ya Wadau wa Uchaguzi ikiwa pamoja na kutoa elimu ya wapiga kura ili kudhibiti na kutatua changamoto ambazo hujitokeza wakati wa Uchaguzi.

Ushauri huo ulitolewa na wadau hao katika Mkutano ulioandaliwa na Tume ya uchaguzi ya Zanzibar ukumbi wa kituo cha walimu Kiembe Samaki ukiwa na lengo la kutoa elimu kwa wadau wa Uchaguzi juu ya umuhimu wa zoezi la uandikishaji na uhakiki wa taarifa za Wapiga Kura. Aidha, waliendelea kusema kuwa ushirikishwaji wa Wadau wa Uchaguzi katika hatua mbalimbali za uchaguzi utasaidia kupunguza changamoto na malalamiko ya wananchi ambayo hujitokeza kabla, wakati na baada ya Uchaguzi.

Mkutano wadau wa Uchaguzi Wilaya ya Magharib "B" ni Mkutano wa kumi katika muendelezo ya mikutano ya wadau wa uchaguzi wa Wilaya iliyoandaliwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ikiwa ni maandalizi ya Uandikishaji na Uhakiki wa taarifa za Wapiga Kura kwa mpangilio wa Wilaya.

Vituo vya kujiandikisha Elimu ya Mpiga kura Uhakiki Haki na wajibu wa mpiga kura. Maktaba ya Picha Habari na Matukio.

Wilaya za Tanzania 4

Sheria ya uchaguzi Kanuni za uchaguzi Ripoti Historia ya uchaguzi. P - Zanzibar, Tanzania. Mitandao ya Kijamii.


thoughts to “Wilaya ya magharibi b

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *